Sehemu ya Kwanza
MTUNZI ; Kado¦Kadidi
MTUNZI ; Kado¦Kadidi
Mimi ni #kagomaKapaku ndiye niliyekuwa idara ya
usafirishaji, nikiwa afisa mauzo. Katika maisha yangu yote nilitegemea
sana na nilihitaji kuwa na mwenzi wa kuishi naye, kama
vile familia nyingine bora ambazo kila siku zina furaha na ridhaa.Kwa kila mmoja kuwa
mwanandani wa mwenzake.
vile familia nyingine bora ambazo kila siku zina furaha na ridhaa.Kwa kila mmoja kuwa
mwanandani wa mwenzake.
Pia nilikuwa namuomba Mungu kwa kila hali si kanisani na hata nikiwa katika mapumziko yangu, anipatie mwanamke ambaye angenifaa katika maisha yangu.Kila siku palipokucha,niliamka nikiwa na wazo la kumpata nimpendaye na anipendaye.Niliamini hivyo japo sikuwa na uhakika kama kweli ningepata mtu kama huyo maishani mwangu.
Siku zote nilijibidisha kuwa mfano bora ili niweze kupata mchumba, nilikuwa mtiifu, nikiwa heshimu wenzangu na kushirikiana nao vema kujenga Taifa.Kujaribu kuwa na
marafiki wengi wa jinsia tofauti. Nilijitahidi nikihisi pengine wale
marafiki wangenifaa kumbahatisha wa ubani wangu.
itaendelea tena.....

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni