Watu wengi walio ni ona walinishangaa sana, kwani sikuwahi kuonekana na
mwanamke yoyote katika ukarbu ule wa kuhisiwa kuwa nina #uhusiano au
niliyeongozana naye katika maisha yangu nakumwita mchumba . Si kwamba nilikuwa na hitilafu yoyote mwilini japo mawazo ya wengne hasa
wasichana na wanawake niliokuwa nafanya nao kazi pale ofisini yalinipa ofu
baada ya kumsikia msaidizi wangu wa kike(secretary) alipokuwa anateta na
wenzake kuwa #jogooWanguHapandiMtungi kwa kipindi chote cha kazi sikuwahi
kumuonyesha ishara yoyote ya kumtaka na kilicho ni kera zaid ni kusikia toka
kwa wanaume waliokuwa chini yangu kuwa #mtotomimiSirdhki na wazazi wangu
wamepata hasara.Hapana nilikuwa mwanaume rijali, na sikupenda kujihusisha na
ngono,kwani magonjwa yamezagaa kama inzi kwenye mzoga.
Licha ya magonjwa, ni
dhambi kubwa kuzini nje ya ndoa. Nilitambua kwamba jambo hilo halimfurahishi muumba hata kidogo.Siku zote
nilikuwa nikijilaumu,ikafikia wakati nikitaka kuokota mwanamke hata baa,lakini
nika kumbuka kisa cha jamaa mmoja anaitwa kadinko ila ye anapenda kujiita kado
wakat yeye anatafuta mtu wa kuishi nae alipata tabu na kupitia kipind kigumu
kama mimi, ila yeye alikuwa na haraka kidogo hali iliyo fanya akagombana mpaka
na dadake violeth miez mitatu kabla ya ndoa kufika na kwan dadake
akukubaliana na swala la kuolewa kwa uyo bint ambae bwana Kandiko ali mchagua
na kuona kuwa anafaa kwani hakutaka kabisa kusubr kwa kipind chote bila kuwa na
uyo bint kama mwenzi wake.
kwani imani yake ili kuwa na msukumo kuwa tabia za wana ndoa ujengeka nakuwa
safi baada ya kuwa pamoja akasahau kabisa sio tu maneno aliyo ambiwa na dadake
bali ali sahau hata maneno ya #wahenga kuwa #MkemwenyetabianjemaniNgaokwamumewe Aliyakumbuka maneno haya baada ya mambo yake kumwendea mlama wiki moja kabla
ya #shereheyaHARUSI yake kufanyika Kilinitisha Sana kisa cha kuvunjika
kwa harusi ya kadinko kabla hata sijaweka wazi juu ya mkasa uo kuna kosa ambalo
wazazi wengi wana fanya na kwao uona ni vyema tu, Yaani binafsi yangu
Nilihitaji kuwa na subira nikihisi pengine ningempata atakaye nipenda na mimi kupenda.
Umri wangu ulisogea kufikia miaka arobaini. Hali ambayo iliwaogopesha sana
wazazi wangu,waliokuwa wazee wa kujikongoja. Nilizaliwa mtoto pekee wa
kiume na dada zangu watatu.Wazazi wangu walichoka na maneno yangu.“Bado umri wa
kuona. Nitaoa Mungu akipenda,mke mwema hupewa na Mungu” Miaka yote huwa
nilikuwa najitetea hivyo .
Hapo
ndo nilipokuwa na CHOCHEA hasira zao zaidi mpaka Ulifika wakati baba na mama
walitaka kuniachia laana na hapo ndo nika kumbuka pia maneno ya sharon na
angnes baada ya kuwadanganya wazazi wangu zaidi ya miaka kumi toka nipate pesa
na kuwajengea nyumba.
itaendele
