Kutokana na naswali la rafiki yangu katalambuga kuwa Nilishindwa kuokota mke ilimradi mke kama vile mtu anavyookota nyanya sokoni na kulipa pesa, nafikiri hata anayeokota nyanya nae huchagua.
Japo kuna usemi usemao mchagua nazi hupata koroma usemi huo niliupinga na kuutupilia mbali.
Niliamini usemi wa kuoa ni kuoa pengine ningefanya hivyo basi ndoa yangu isinge kuwa na
ladha ya unyumba na isingedumu maishani.
Nilijawa na imani kuwa mke mwema hupewa na Mungu, niliishi kwa matumaini ya Mungu na nilitegemea msaada mkubwa kutoka kwake mpaka kipindi hiki Mungu aliwapa Wazazi wangu baraka walikuwa hai wakinisubiri nioe wamuone mkwe na wajukuu wao kabla ya wakat wao wa kufariki kuwa fikia japo Kwa bahati mbaya siku weza kupewa upeo wa kuona mchumba mwema mapema yote hii ambaye angekuwa mke wangu,
japo nilikuwa na kazi nzuri na nafasi yangu kazini ili nifanya nionekane maridadi saa zote.
Watu wengi walio ni ona walinishangaa sana,
itaendelea

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni