Hapo ndo nilipokuwa na CHOCHEA hasira zao zaidi mpaka Ulifika wakati baba na
mama walitaka kuniachia laana na hapo ndo nika kumbuka pia maneno ya sharon na
angnes baada ya kuwadanganya wazazi wangu zaidi ya miaka kumi toka nipate pesa
na kuwajengea nyumba.
Japo maneno ya kina agnes na sharon yalikuwa magumu kueleweka kwangu
kulikuwa na msingi kidogo kwa waliyosema na hawa ndo kidogo nilikuwa
naona kama wananiwazia mema ila sio kwa 100% sababu wote hawa walikuwa wanakaa
kwenye vikao vya kunisema pale ofisini Agnes alinambia kaka maisha ni safari ndefu ila usikate tamaa mie pia nilipitia
uko uko kwan wazazi wangu walikataa mtu niliye mpenda kwa dhati na nilikuwa
tayar kumvumilia kwa kila hali
lakini......chokochoko za ndugu zake na maisha
waliyoleta hapo ilikuwa bala Sauti ya sharon pia ikanijia boss wangu Pole ila
haya ni mapito tu ujakosea sana maana sisi wanawake tuna vimbwanga vingi sana
leo utaniona nmetulia kesho ukinipa nachotaka tu tena kwenye kiapo ndoa wewe
tena basi si unaona kila siku watu wanavyo lia umo majumbani ILA ANGALIA UZEE
UO UNAKUJA kakangu.
Nilizid kukosa amani zaid ya ilivyokuwa awali maana maneno ya #Mzee yalikuwa
tishio zaid
Na kilicho kuwa kina ni vuruga kabisaaaaaaaaaaaaa na kunitoa katika mstari wa
AMANI ni icho kisa cha jamaa yangu kadinko Baada ya kupata kizunguzungu kwa
kufikiria nini itakuwa hatma ya hili swala langu mawazo yali rudi upya tena
kwenye mkasa wa kadinko ambao huu pekee ndo ulikuwa tishio katika swala langu
la kutafuta, kupata na kukuamini #mwanamke yoyote kuwa mke wangu
Nakumbuka siku izo nili toka tu katika shughuli za ofisini na kwa bahati nzuri
nilikutana na evad kwa utani tu nikamuliza ivi hayo una andika yamekupata wewe
nini? Au kuna ndugu yako yasha mkutaaa?? akanambia hapana bhna haya maisha tu
yana mambo mengi na hayo ndo ya nafanya akili iende mbali ivo DAH ila kweli
sasa acha mie niende kwa jamaa angu Kandiko
Jumatatu, 7 Desemba 2015
Jumatano, 11 Novemba 2015
SAFARI YA ISOKE
Watu wengi walio ni ona walinishangaa sana, kwani sikuwahi kuonekana na
mwanamke yoyote katika ukarbu ule wa kuhisiwa kuwa nina #uhusiano au
niliyeongozana naye katika maisha yangu nakumwita mchumba . Si kwamba nilikuwa na hitilafu yoyote mwilini japo mawazo ya wengne hasa
wasichana na wanawake niliokuwa nafanya nao kazi pale ofisini yalinipa ofu
baada ya kumsikia msaidizi wangu wa kike(secretary) alipokuwa anateta na
wenzake kuwa #jogooWanguHapandiMtungi kwa kipindi chote cha kazi sikuwahi
kumuonyesha ishara yoyote ya kumtaka na kilicho ni kera zaid ni kusikia toka
kwa wanaume waliokuwa chini yangu kuwa #mtotomimiSirdhki na wazazi wangu
wamepata hasara.Hapana nilikuwa mwanaume rijali, na sikupenda kujihusisha na
ngono,kwani magonjwa yamezagaa kama inzi kwenye mzoga.
Licha ya magonjwa, ni dhambi kubwa kuzini nje ya ndoa. Nilitambua kwamba jambo hilo halimfurahishi muumba hata kidogo.Siku zote nilikuwa nikijilaumu,ikafikia wakati nikitaka kuokota mwanamke hata baa,lakini nika kumbuka kisa cha jamaa mmoja anaitwa kadinko ila ye anapenda kujiita kado wakat yeye anatafuta mtu wa kuishi nae alipata tabu na kupitia kipind kigumu kama mimi, ila yeye alikuwa na haraka kidogo hali iliyo fanya akagombana mpaka na dadake violeth miez mitatu kabla ya ndoa kufika na kwan dadake akukubaliana na swala la kuolewa kwa uyo bint ambae bwana Kandiko ali mchagua na kuona kuwa anafaa kwani hakutaka kabisa kusubr kwa kipind chote bila kuwa na uyo bint kama mwenzi wake.
kwani imani yake ili kuwa na msukumo kuwa tabia za wana ndoa ujengeka nakuwa safi baada ya kuwa pamoja akasahau kabisa sio tu maneno aliyo ambiwa na dadake bali ali sahau hata maneno ya #wahenga kuwa #MkemwenyetabianjemaniNgaokwamumewe Aliyakumbuka maneno haya baada ya mambo yake kumwendea mlama wiki moja kabla ya #shereheyaHARUSI yake kufanyika Kilinitisha Sana kisa cha kuvunjika kwa harusi ya kadinko kabla hata sijaweka wazi juu ya mkasa uo kuna kosa ambalo wazazi wengi wana fanya na kwao uona ni vyema tu, Yaani binafsi yangu Nilihitaji kuwa na subira nikihisi pengine ningempata atakaye nipenda na mimi kupenda.
Umri wangu ulisogea kufikia miaka arobaini. Hali ambayo iliwaogopesha sana wazazi wangu,waliokuwa wazee wa kujikongoja. Nilizaliwa mtoto pekee wa kiume na dada zangu watatu.Wazazi wangu walichoka na maneno yangu.“Bado umri wa kuona. Nitaoa Mungu akipenda,mke mwema hupewa na Mungu” Miaka yote huwa nilikuwa najitetea hivyo .
Hapo ndo nilipokuwa na CHOCHEA hasira zao zaidi mpaka Ulifika wakati baba na mama walitaka kuniachia laana na hapo ndo nika kumbuka pia maneno ya sharon na angnes baada ya kuwadanganya wazazi wangu zaidi ya miaka kumi toka nipate pesa na kuwajengea nyumba.
itaendele

Jumanne, 1 Septemba 2015
SAFARI YA ISOKE
Kutokana na naswali la rafiki yangu katalambuga kuwa Nilishindwa kuokota mke ilimradi mke kama vile mtu anavyookota nyanya sokoni na kulipa pesa, nafikiri hata anayeokota nyanya nae huchagua.
Japo kuna usemi usemao mchagua nazi hupata koroma usemi huo niliupinga na kuutupilia mbali.
Niliamini usemi wa kuoa ni kuoa pengine ningefanya hivyo basi ndoa yangu isinge kuwa na
ladha ya unyumba na isingedumu maishani.
Nilijawa na imani kuwa mke mwema hupewa na Mungu, niliishi kwa matumaini ya Mungu na nilitegemea msaada mkubwa kutoka kwake mpaka kipindi hiki Mungu aliwapa Wazazi wangu baraka walikuwa hai wakinisubiri nioe wamuone mkwe na wajukuu wao kabla ya wakat wao wa kufariki kuwa fikia japo Kwa bahati mbaya siku weza kupewa upeo wa kuona mchumba mwema mapema yote hii ambaye angekuwa mke wangu,
japo nilikuwa na kazi nzuri na nafasi yangu kazini ili nifanya nionekane maridadi saa zote.
Watu wengi walio ni ona walinishangaa sana,
itaendelea
Jumatatu, 31 Agosti 2015
SAFARI YA ISOKE
ILIPOISHIA
Siku Zote nilijibidisha kuwa mfano bora ili niweze kupata mchumba, nilikuwa mtiifu, nikiwa heshimu wenzangu na kushirikiana nao vema kujenga Taifa.Kujaribu kuwa na marafiki wengi wa jinsia tofauti.
ENDELEA
Nilijitahidi nikihisi pengine wale marafiki wangenifaa kumbahatisha wa ubani wangu.
Pamoja na yote hayo sikuweza kubahatika kupata niliyempenda kutoka moyoni, na aliye ni penda, Nilizidi kumuomba Mungu anishushie neema ya kumpata wa ubani wangu.
Ikafikia wakati nikaomba ushauri, lakini wale niliowaomba
ushauri walionekana kuwa fukara wa mawazo, Walinishauri wakisema kuoa ni
kuoa.Eti mwanamke ningemfunza mimi mwenyewe kama atakuwa na tabia
mbaya.
Nikafikiri mara mia mia ushauri wao nikaona haukuwa na maana zaidi ya upofu.“Bw #kagoma inamaana uwingi wa wanawake ulimwenguni umekosa umpendaye?” Lilikuwa swali nililoulizwa na rafiki yangu katalambuga .Hatahivyo nilishndwa kumjibu na hatimaye nikamdharau.“Inamaana kuchagua mke wa kuishinae ni
kosa????, pengine ni kama kupewa mtihani wa somo usilo jua na kusubiri
matokeo mazuri??? au hili swala ni sawa na kuokota fungu la samaki
sokoni ama vipi?”Nilijiuliza Maswali mengi bila kujijibu kwa wakati huo.
Itaendelea tena
SAFARI YA ISOKE
Sehemu ya Kwanza
MTUNZI ; Kado¦Kadidi
MTUNZI ; Kado¦Kadidi
Mimi ni #kagomaKapaku ndiye niliyekuwa idara ya
usafirishaji, nikiwa afisa mauzo. Katika maisha yangu yote nilitegemea
sana na nilihitaji kuwa na mwenzi wa kuishi naye, kama
vile familia nyingine bora ambazo kila siku zina furaha na ridhaa.Kwa kila mmoja kuwa
mwanandani wa mwenzake.
vile familia nyingine bora ambazo kila siku zina furaha na ridhaa.Kwa kila mmoja kuwa
mwanandani wa mwenzake.
Pia nilikuwa namuomba Mungu kwa kila hali si kanisani na hata nikiwa katika mapumziko yangu, anipatie mwanamke ambaye angenifaa katika maisha yangu.Kila siku palipokucha,niliamka nikiwa na wazo la kumpata nimpendaye na anipendaye.Niliamini hivyo japo sikuwa na uhakika kama kweli ningepata mtu kama huyo maishani mwangu.
Siku zote nilijibidisha kuwa mfano bora ili niweze kupata mchumba, nilikuwa mtiifu, nikiwa heshimu wenzangu na kushirikiana nao vema kujenga Taifa.Kujaribu kuwa na
marafiki wengi wa jinsia tofauti. Nilijitahidi nikihisi pengine wale
marafiki wangenifaa kumbahatisha wa ubani wangu.
itaendelea tena.....
Jisajili kwenye:
Maoni (Atom)